![]() Naye ni mmoja wa watawala saba wa kwanza. 11 Mnyama ambaye hapo kwanza alikuwa hai, lakini haishi tena ni mtawala wa nane. Mmoja wa watawala anaishi sasa, na mtawala wa mwisho anakuja. 10 Watawala watano wamekwisha kufa tayari. Vichwa saba juu ya mnyama ni milima saba ambako mwanamke amekaa. Hawa ni watu ambao majina yao hayajawahi kuandikwa katika kitabu cha uzima tangu mwanzo wa ulimwengu.ĩ Unahitaji hekima kulielewa hili. Watu wanaoishi duniani watashangaa watakapomwona mnyama, kwa sababu aliwahi kuwa hai, hayuko hai, lakini atakuwa hai tena. Hata hivyo, atapanda kutoka kuzimu na kwenda kuangamizwa. 8 Mnyama unayemwona alikuwa hai kwanza, lakini sasa si hai. ![]() 7 Kisha malaika akaniambia, “Kwa nini unashangaa? Nitakuambia maana iliyofichwa kuhusu mwanamke huyu na mnyama mwenye vichwa saba na pembe kumi anayeendeshwa na mwanamke huyu. Alikuwa amelewa kwa damu ya wale walioshuhudia imani yao katika Yesu Kristo. Alikuwa amelewa kwa damu ya watakatifu wa Mungu. Hiki ndicho kilichoandikwa: babeli mkuu mama wa makahaba na machukizo ya dunia.Ħ Nikatambua kuwa mwanamke alikuwa amelewa. 5 Alikuwa na jina kwenye kipaji cha uso wake. Kikombe hiki kilijaa maovu na machukizo ya dhambi yake ya uzinzi. Mkononi mwake alikuwa ameshika kikombe cha dhahabu. Alikuwa anang'aa kutokana na dhahabu, vito na lulu alizokuwa amevaa. 4 Mwanamke aliyekuwa juu yake alikuwa amevaa nguo za zambarau na nyekundu. Mnyama alikuwa ameandikwa majina ya kumkufuru Mungu katika mwili wake wote. Huko nikamwona mwanamke amekaa juu ya mnyama mwekundu. ![]() Watu wa dunia walilewa kutokana na mvinyo wa dhambi yake ya uzinzi.”ģ Kisha malaika akanichukua mbali kwa Roho Mtakatifu mpaka jangwani. 2 Watawala wa dunia walizini pamoja naye. Akasema, “Njoo, nami nitakuonesha adhabu itakayotolewa kwa kahaba maarufu. 17 Mmoja wa malaika saba waliokuwa na bakuli sa akaja kuzungumza nami. ![]()
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |